Pale unapomkumbatia baba kwa furaha

Pale unapomkumbatia baba kwa furaha

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,317
894ae236c8d26e1410cb62a6a10fe8f1.jpg
 
Halafu wengi tungekuwa na afya njema sana, kulinganisha na sasa tulivyovimbiana matumbo na kunyonyoka nywele
Halafu bila haya wanaanzisha kampeni ya kufanya mazoezi...
Mazoezi ya nini wakati maisha yalivyo tight ni mazoezi tosha?

Kitaa diet siku hizi ni lazima sio option kama zamani.
Pasi ndefu ndio habari [emoji24]
 
Halafu bila haya wanaanzisha kampeni ya kufanya mazoezi...
Mazoezi ya nini wakati maisha yalivyo tight ni mazoezi tosha?

Kitaa diet siku hizi ni lazima sio option kama zamani.
Pasi ndefu ndio habari

Wamesahau kuwa kuna watu wanautapia mlo; wanafikiri watu wote wamevimbiana kama wao!!
 
Back
Top Bottom