Pale tu mashoga walipo tambuliwa.

Why people are so hung up on homosexuality is beyond me!

David Cameron anazungumzia haki za binadamu kuhusiana na ushoga watu wanatoa mapovu. Lakini kila mara tunasikia jinsi albinos wanavyonyanyaswa na kufanyiwa ukatili lakini hata tone la povu hakuna.

Vipaumbele vyetu vikoje sisi? Kwa jinsi watu walivyokomalia kumpinga Cameron kama wangeukomalia ukatili dhidi ya ndugu zetu albinos nadhani tatizo lingepungua kwa kiasi kikubwa sana.

Na kwa jinsi ambavyo tulimkomalia Cameron kama tungeukomalia ufisadi, umaskini, na uongozi mbovu mbona tungekuwa mbali. Watu mipovu hiyo utadhani sabuni ya erio kisa Cameron kasema msiwanyanyase mashoga.

Hivi kati ya ushoga na ukatili dhidi ya albinos kipi cha muhimu zaidi?

Mkuu hapo umenena.
 
usiniache na mm dunia naona imeshanishinda siwezi vumilia!

Acheni unafiki, hao machoko c wapo hata kabla Cameroon hajasema? Na najua mnawajua, mnaishinao, mnawaona, mnafanyanao kazi mbona hamuwapingi au kuwaua km mnawachukia? Au hao albino na vikongwe ndo wabaya? Acheni hizo.
 
Mungu aepushe mbali isijetokea hapa tz, waendelee kujificha hivyo, hivyo. Hiyo ni laana kuliko laana zote hapa duniani. Mwanaume kujigeuza wa kike! Laana.

Nasikia hata wanawake wanaoana sipati picha ile shughuli inafanyikaje au wanapanyunda na kisigino, lakini hapana, auuu, ee? mademu naomba mnijuze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom