Pale mwanamke anaponogewa na penzi

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
72,431
Reaction score
191,696
Love is a beautiful thing indeed, when it hits a right spot it makes a person glow and glitter with happiness, maneno huwa matamu namna hii. Lets make our patners happy wandugu.
[
Your browser is not able to display this video.
]
 
And it doesn't take that much to make a woman happy. Women love to be respected, cherished and understood.

Women love to be spoilt with random gifts and constant reminders that they are loved. Never get tired of telling your woman that you love her.

Kiss your woman, hug her tight and spend time with her.

A woman loved right, glows like the full moon in all its glory.
 
Spot on dear Sis..♥️
 
Haya bwana. Langu mm ni ombi tu 😅😅. Mwenye ni demu aje tu tupendane maan nishachoka kupenda tuu bia now nataka nipende mpenzi but angalizo ni moja. SINA PESAAA. Narudia tena SINA PESAAA! Kama pesa ni muhimu saan kwenye upendo kati ya watu wawili na ww tafuta zako uje nazo.
 
Absolutely. However every woman has her love language.
 
@Miss Renee
Nitafasirie jamani
 
Na munanenepaga kweri kweri 😂 mkipewa right treatment.
 
Hahaha apo pa "SINA PESA" ndio umesababisha kikwazo joh. Amna dem venye atakam ju ya kuwa huna pesa.
 
Wanawake tunajuana. Huyo dada alichokisema ni sahihi lakini kupitia maneno yake kuna wanaume hawatamuelewa wanachangia tu.ukisikia mwanaume very smart ni yule anaetoa huduma bila kuombwa anajua mwanamke anataka nini.

Ukiona uso wa furaha wa huyo dada jua kuna makubwa kafanyiwa.( hapa mashine ni bonus)
Mtoto wa kiume tafuta hela na sisi tunatafuta sio kusema hela hatuna.
Mkifungua pochi na sisi tunafungua. Si mnajua wengi hatunaga mkono mgumu? Mkiwa wabahili jibu ni lile lile.

None " very smart " msilichukulie eti ni ule u smart wa kuchomekea na mwiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…