Pale mume anaposema hatajenga nyumba

Wanafiki chadema wanaingia mara 1000000 kwa huyo bibi.

Ufipa kila kukicha ni kubadilisha ngonjera za kulialia ili wapewe msaada, majitu mazima hovyo kabisa.
 
Wanafiki chadema wanaingia mara 1000000 kwa huyo bibi.

Ufipa kila kukicha ni kubadilisha ngonjera za kulialia ili wapewe msaada, majitu mazima hovyo kabisa.
Na kama ni wa Kagera, waliokula rambirambi Mungu atalala nao mberree.
 
Ha ha, kanikumbusha bibi yangu hadi anafika 80s alikuwa anaendesha bike, piga pedal balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…