Pale Buguruni analindwa Lipumba au CUF?

Jibu litapatikana soon, yule mpemba mwenye jengo kasema mwisho wa mkataba ni mwezi huu na haongezi mkataba. Hapo ndo tutajua analindwa lipumba au ofisi.
Mpemba ataongezewa hela ya pango lazima akubali tu ruzuku sasa hivi Lipumba anaicontrol
 
Unalia,unauliza au unalalamika?
Bavicha mkikosa hoja mnakimbilia kodi za wananchi ili mpate huruma
Hivi mnavyotapanya kodi za wananchi kwa maandamano na ziara butu huko ujerumani mnaenda kunywa whisky tu mbona husemi?
Ulinzi wa mali na maisha ya watanzania ni jukumu la polisi
Kwa hali ilivyo sasa mali na viongozi wa cuf lazima walindwe na polisi
Hata wewe maisha yako yakiwa hatarini utapewa ulinzi
 

Hao wanaomlinda si ndiyo waliompiga nyakati zile mpaka kumvunja mkono?
 
Kwani wanaolinda ni Polisi wetu? Siyo mabaunsa?
 
wewe kinakuuma nini? omba ulinzi uone kama utanyimwa.
 
kweli jamaa kafanikiwa kujificha ofisini na kulala humohumo. mafanikio makubwa
 
Kinacholindwa pale ni kinu cha uharibifu wa demokrasia
 
sasa unalazimisha moyo wako unavyotaka

Sijalazimisha ndivyo ilivyo.Subiri baada ya muda utaujua ukweli,ila kwa sababu wote ni wale wale....................
 
Hahaha na kweli ameweza ndio maana analala pale.....
Poor prof...mvyuuu
 
Ushahidi huna alafu unabwabwaja mtandaoni! Hata picha moja huna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…