pius maige
Member
- Mar 2, 2012
- 57
- 8
Kama nilivoeleza hapo kwenye title kama wewe ni mtumiaji wa computer na unapenda kujifunza au kujiendeleza zaidi katika proffesional nilizotaja, bofya link ifuatayo afu chagua folder la taaluma unayopenda, ndani utakutana na vitabu vingi katika format ya PDFna utajisomea.
LINKNI HII HAPA >>>>p.pw
shukran mkuu..nimepata vichache, nipo upande Wa business naitaji vitabu zaid has a vya procurement..ntapata vipi?