Huyu jamaa anapambana mno kurejea madarakani...ila jeshi halimtaki kabisa huku likimuona kama mtetezi wa magaidi.Imran Khan adai anataka uawa
Wafuasi wake zaidi ya 61 wakamatwa
Nyumba yake yavamiwa, silaha zakutwa
Vyombo vya habari vimezuiwa kurusha habari za maandamano
Yuko Lahore Mahakamani
Akileta nakufa paleTuletee ya Israel mkuu naskia kuna maandamano makubwa katika miji hali tete huko
Tel Aviv's Habima SquareView attachment 2556563
Tatizo lilianza kuonekana kati ya Jeshi la Pakistan na Imran Khan, baada ya Idara ya ujasusi wa jeshi la Pakistani (ISI) kutangaza jina la mkurugenzi mkuu wao Luteni Jenerali Nadeem Anjum alieteuliwa kuchukua nafasi ya Jenerali Faiz Hameed kama mkuu wa idara ya ujasusi wa jeshi. Isipokuwa uteuzi huu haukufuata hatua na utaratibu wa kawaida.Huyu jamaa anapambana mno kurejea madarakani...ila jeshi halimtaki kabisa huku likimuona kama mtetezi wa magaidi.
Had Netanyahu aachie ngazKimenuka
Aanzisha uzi wewe kwani umekatazwaTuletee ya Israel mkuu naskia kuna maandamano makubwa katika miji hali tete huko
Aanzisha uzi kwani umekatazwaAkileta nakufa paleView attachment 2556566
Alishaachia ngazi kidemocrasia na amerudiHad Netanyahu aachie ngaz
Imran alifurahia mno Taliban kurejea madarakani huko Kabul, hakukumbuka kuwa magaidi wa Ttp na Taliban ni washirika wa karibu.Tatizo lilianza kuonekana kati ya Jeshi la Pakistan na Imran Khan, baada ya Idara ya ujasusi wa jeshi la Pakistani (ISI) kutangaza jina la mkurugenzi mkuu wao Luteni Jenerali Nadeem Anjum alieteuliwa kuchukua nafasi ya Jenerali Faiz Hameed kama mkuu wa idara ya ujasusi wa jeshi. Isipokuwa uteuzi huu haukufuata hatua na utaratibu wa kawaida.
Anadai Marekani walichochea mapinduzi ya kumtoa.Khan anang'ang'a kurudi madarakani wakati alifukuzwa kutoka kwenye nafasi ya waziri mkuu wa Pakistan baada ya bunge kuidhinisha kura ya kutokuwa na imani naye.
Mbona unarazimasha mawazo unayo yawaza ww mkuu kilicho fanya jeshi limpindue ni jaribio lake la kutaka kuondoa ushawishi wa jeshi ndani ya siasa za taifa hilo hicho ndo kimemponza.Imran alifurahia mno Taliban kurejea madarakani huko Kabul, hakukumbuka kuwa magaidi wa Ttp na Taliban ni washirika wa karibu.
Leo Ttp wanaitumia Afghanistan kama uwanja wa kuishambulia Pakistan, tena wamiliki silaha nyingi za kisasa zilizoachwa na Marekani walipoondoka.
Hayo pia ni mawazo yako tu ila mfumuko wa bei, mdororo mbaya wa Uchumi, kurozota kwa hali ya usalama, tuhuma za rushwa yalichangia Sana kumtoa.Mbona unarazimasha mawazo unayo yawaza ww mkuu kilicho fanya jeshi limpindue ni jaribio lake la kutaka kuondoa ushawishi wa jeshi ndani ya siasa za taifa hilo hicho ndo kimemponza.
Hayo yote yamechangia ila hilo ndo kubwa, alafu kuhusu usalama hakuna kipindi ambacho Pakistan ilitulia kama kipindi cha Khan.Hayo pia ni mawazo yako tu ila mfumuko wa bei, mdororo mbaya wa Uchumi, kurozota kwa hali ya usalama, tuhuma za rushwa yalichangia Sana kumtoa.
Halafu ni kura za wabunge zilimtoa sio jeshi.
Kumbe jamaa anasiasa za mlengo mkali hivi binafsi sikumjua vizuriImran alifurahia mno Taliban kurejea madarakani huko Kabul, hakukumbuka kuwa magaidi wa Ttp na Taliban ni washirika wa karibu.
Leo Ttp wanaitumia Afghanistan kama uwanja wa kuishambulia Pakistan, tena wamiliki silaha nyingi za kisasa zilizoachwa na Marekani walipoondoka.