Kuna jamaa mmoja walihama na
kwenda kuishi
Uswahilini ,alimchoka Paka wa
Mkewe na kufikia Hatua ya
kumchukiaa , Alimaua kumbeba
ktk gari yake nakumpeleka
nyumba Kama 50 kutoka Hapo
anapoishi na kumtelekeza Hapo...
Alipo Rudi Nyumbani alimkuta
yule Paka ndio anakaribia kuingia
Ndani taratibu kwa mbwembwe...
Kesho Yake aliamua kumbeba
Kwa Siri na kumpeleka Nyumba
100 mbele ya pale anapo ishi...
safari hii alimrusha njee ya Garii...
na kugeuza na kurudi Nyumbani
Kwakee...
Matokeo Yake yule Paka alimkuta
nyumbani ,aliendelea kumpeleka
Mbali kila siku ....zoezi hili lilizidi
kuendelea lakini paka alimkuta
nyumbaniii....
Kuna Siku alikasirika na kuwasha
Gari yakee na kwenda kilo Meta
Kadhaa ,alikuja kushoto ,kuliaa ,
vuka madaraja ,mpakaa akafika
sehemu akasema sasa hapa
nipoaa nimemuwezaa... na
kumrushaa njee ya Gari lakee....
Akaanza kurudii homee
akapoteaa Baada ya dakika
40....Akachukua Simu yake ...
[MUME] " Haloo ! Mama watoto ,
Paka wetu yupo nyumbani ?
[MKE] " Yupo nyumbani vp Kwani ?
"
[MUME ] akiwa na HAsiraa " Hebu
mpe simu huyoo **** , nimepotea
naitaji anielekeze jinsi ya kurudi
Nyumbani "