Paka wanaokuwepo madukani ni paka kweli

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
207
Reaction score
713
Maduka mengi yamekuwa na paka anae cheza cheza mule dukani, sasa najiuliza uwepo wake ni kwasababu ya kupambana Kuua panya wanaoharibu bidhaa dukani au wanakazi nyingine?

Maana kuna mmiliki wa duka fulani aliangusha kilio kama kafiwa mara baada ya paka wake kutoka dukani kwa bahati mbaya na kuchukuliwa nawapita njia, alitangaza dau nono kwa yeyote atakae muona na kumrejesha kwake.
 
Kama aliweza kuchukuliwa na wapita njia hapana shaka ni paka kweli!
 
Ni paka aina ya paka na ni paka kweli.
 
Ni kweli wale mapaka kazi yao kubwa ni kupambana na panya aitwaye 'binadamu' au mteja mwizi na kuvutia wateja.
 
Nikiona kiumbe huyo kwenye duka sinunui bidhaa yoyote hapo kwa sababu ni wachafu sana wanakunya na kutapika humo ndani ya duka
 
Ndumba
 
Wale ni walinzi wa wenye duka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…