Paka wa Schrödinger

Lol! Mimi naomba kutafsiriwa hiyo paka inamaanisha nini. Au jina la kingereza la hiyo paka ndo nini.
 
Lol! Mimi naomba kutafsiriwa hiyo paka inamaanisha nini. Au jina la kingereza la hiyo paka ndo nini.
 

Hahahah pole sana mkuu i was good in spectroscopy ila nikawa mbovu kwny wave mechanics
 
Lugha mama, lakini material bado magumu hatari.
 
Asante sana kwa shule. Ila bado sijaelewa msingi wa experiment ya Schrodinger's Cat, haswa kwa paka na maisha halisi ukiacha katika quantum mechanics
 
Hao paka wa Scrodinger nimewasoma nakuwasoma nimerudia labda huyu jamaa Scrodinger alikua jambazi katega paka na bomu kawapelekea fbi kama mtego wapi nimetoka kapa naona paka tu anazunguka zunguka na Atoms
Physics bana mtihani sana.

Sent from kijijini kijiji cha quantum pakasm
 
Ilivyoandikwa Schrodinger ukanikumbusha jina tulilokuwa tunamuita Prof, Mrema pale SUA.
 
Dah... Nimesoma nimerudia zaidi ya mara 10 sijaelewa...
 
Are atoms immortal?

If the answer is yes then we have to change the way we define the living matter !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…