Jamaa yangu mmoja alipenda kutukumbusha kwamba ukibobea sana kwenye electronics hapa kwetu bongo unaishia kubadili panel za computer na kuwa fundi saa...sijui hilo lina ukweli kiasi gani.
Kuna ukweli flani. Mi nilikuja kuhama kwa kina Schrondinger na kuhamia fani nyingine. Kwa sasa allahhamdulilah sipo haba!
Somo zuri ila mpaka ushibe ukisoma na njaa unalala
Nikianza kukumbuka masuala ya schrödinger eqn, hamiltonion operator, azimuthal & colatitude, behaviour of particles in an atom, hua napata kichefu chefu....
Duh,umenikumbusha Schrodinger equation wakati nipo form six. Li equation li refu hilo. Kuli kremu lazima unywe maji mengi kwanza!
Mkuu Monstgala hii mada kwangu imekuwa ngumu kumeza, ila nakubaliana na nondo zako kiongozi. Hebu rushia zile liquid kiasi japo tuende sawa
Sawa mkuu,
ukiangalia maelezo ya awali kabisa, mleta uzi amezitaja possibilities 4
(based on classical mechanics)
- Paka wa kwanza na wa pili wote wako hai (mabomu yote mawili hayakulipuka)
- Paka wa kwanza na wa pili wote wamekufa (mabomu yote mawili yamelipuka)
- Paka wa kwanza yuko hai na wa pili kafa (bomu moja limelipuka lingine halikulipuka)
- Paka wa kwanza kafa na wa pili yuko hai (bomu moja limelipuka lingine halikulipuka)
na possibilities 2
- Paka wa kwanza yuko hai na wa pili kafa (bomu moja limelipuka lingine halikulipuka)
- Paka wa kwanza kafa na wa pili yuko hai (bomu moja limelipuka lingine halikulipuka)
(based on quantum mechanics)
Sasa swali langu lilikuwa kwanini nne(4) katika classical na mbili(2) katika quantum mechanics?
Sijui kama nimeeleweka.
Naomba pia Kiranga apite huku.
Naweza kuelezea lkn kwanza ningependa kujua uzoefu wako na Quantum physics unakwenda mbali kwa kiasi gani, naomba usinielewe vibaya kwa swali langu kwani napenda kujua ni/tuanzie wapi, Je una uzoefu mzuri na Heisenberg Uncertainty principle (dxdp> h(planck contant)/2? kwa maana uelewa mzuri wa Schrödinger cat's experiment unaanzia hapo!
Mkuu, twende kazi nikikwama nitakwambia. Ufahamu wangu ni wa kawaida tu ila Heisenberg nimemsoma.
Mkuu Tiger technically quantum superposition inahusiana na swali lako:Why only two possibilities katika quantum state instead of many from the combination of other possibilities of classical mechanics.
Kwa two states (paka wawili wa Schödinger)
Paul Dirac katika superposition principle anasema: if two or more quantum states correspond to situations that are physically possible, so does their superposition.
"The non-classical nature of the superposition process is brought out clearly if we consider the superposition of two states, A and B, such that there exists an observation which, when made on the system in state A, is certain to lead to one particular result, a say, and when made on the system in state B is certain to lead to some different result, b say. What will be the result of the observation when made on the system in the superposed state? The answer is that the result will be sometimes a and sometimes b, according to a probability law depending on the relative weights of A and B in the superposition process.
It will never be different from both a and b [i.e, either a or b]. The intermediate character of the state formed by superposition thus expresses itself through the probability of a particular result for an observation being intermediate between the corresponding probabilities for the original states, not through the result itself being intermediate between the corresponding results for the original states."
Basi kama umeelewa uncertainty principle nafikiri unaweza kuelezea hilo kwa kutumia uncertainty principle kwamba huwezi kuwa na states mbili zinazofanana kwa wakati mmoja yaani huwezi kuwa na paka wote wawili wakiwa hai au wote wawili wakiwa wamekufa kwa maana uncertainty principle inakataza, kwenye uncertainty principal huwezi kujua position ya particle (dx) na wakati huo huo pia ukajua momentum yake (dp), kama ukiweza kumeasure momentum ya particle basi position yake inasambaa all over space kwa maana nyingine position ya particle haiwezi kuwa localised, na hii unaweza kucalculate position ya particle kwa kutumia Gausian wave function ya kuthibitisha hilo!
nafikiri hiyo ndiyo sababu, ya kwamba huwezi kuwa na states ya vitu viwili vinavyofanana kwa wakati mmoja, yaani paka wote wawe hai na au wote wawe wamekufa, ni lazima mmoja awe hai na mwingine awe amekufa ama kinyume chake kwa kutumia uncertainty principle, hivyo ndivyo ninavyofikiri kwamba ni sababu, sasa classical physics uncertainty principle haihusiki hivyo kila kitu kinawezekana kwa maana classically unadili na vitu macroscopic au vitu vyote vinavyoonekan kwa macho!
Bado Sijakupata mkuu.
Hawa ni paka wawili katika mabox mawili na mabomu mawili tofauti. Ninachotaka kufahamishwa ni namna gani quantum mechanics inaweza kuelezea namna paka hao wawili wanavyohusina hata tuwafananishe na wave-particle duality characteristic.

Albert Einstein aliwahikusema kama mtu unafahamu kitu fulani, unatakiwa uwe na uwezo wa kumsimulia bibi yako na akakuelewa, otherwise hukielewi.
This implies that you have to use as simple language as your bibi can understand.
Ukiniwekea tu principles za quantum superposition hutokuwa umenisadia mkuu. Naamini kuna watu wengine wanajiuliza swali kama nililouliza na wangependa kufahamishwa.
Basi kama umeelewa uncertainty principle nafikiri unaweza kuelezea hilo kwa kutumia uncertainty principle kwamba huwezi kuwa na states mbili zinazofanana kwa wakati mmoja yaani huwezi kuwa na paka wote wawili wakiwa hai au wote wawili wakiwa wamekufa kwa maana uncertainty principle inakataza, kwenye uncertainty principal huwezi kujua position ya particle (dx) na wakati huo huo pia ukajua momentum yake (dp), kama ukiweza kumeasure momentum ya particle basi position yake inasambaa all over space kwa maana nyingine position ya particle haiwezi kuwa localised, na hii unaweza kucalculate position ya particle kwa kutumia Gausian wave function ya kuthibitisha hilo!
nafikiri hiyo ndiyo sababu, ya kwamba huwezi kuwa na states ya vitu viwili vinavyofanana kwa wakati mmoja, yaani paka wote wawe hai na au wote wawe wamekufa, ni lazima mmoja awe hai na mwingine awe amekufa ama kinyume chake kwa kutumia uncertainty principle, hivyo ndivyo ninavyofikiri kwamba ni sababu, sasa classical physics uncertainty principle haihusiki hivyo kila kitu kinawezekana kwa maana classically unadili na vitu macroscopic au vitu vyote vinavyoonekan kwa macho!
First off, Schrodinger's Cat experiment deals with one cat in two states, not two cats in two states. Let's get that straight right off the bat. How anybody sees two cats beats me.
Actually, Heisenberg's uncertainty principle ndiyo inayosababisha kuwepo kwa states mbili na paka akawa kwa wakati mmoja huo huo yupo mzima na kafa, kama kwenye double slit experiment.
Uncertainty principle inakataza kuwa na specific momentum na position at any particular time, hivyo inaruhusu kuwa na a wave of probability regarding either, hivyo inaruhusu particle moja "kuwa" sehemu mbili kwa "wakati" mmoja, hivyo, by way of analogy, inaruhusu paka kuwa mzima na kafa kwa wakati mmoja.
"Wakati mmoja" of course is an entirely fictional concept as exposed by Einstein's relativity. As relativity revealed, there is no.such thing as "wakati mmoja", time is relative. If you really think deeply about the confusion.behind Schrodinger's Cat experiment, it stems.from.our classical mechanics view of the quantum world. We think "paka hawezi kuwa mzima na kafa kwa wakati mmoja huo huo" wakati there is no such thing as "wakati huo huo". This is a mere bias of the large scale universe. To a particle moving at the speed of light, the universe is timeless, time.stands still for it.
So, to that particle for example, everything happens at once and being in two positiins at the same time is what is normal. The particle cannot be only at one point at any particular time because all of time, from its perspective, is a single instant.
Here, uncertainty principle is the cause for the cat to be both dead and alive at the same time, not the limitation towards that end.
A general understanding of the Schrodinger's Cat experiment, Einstein's Relativity, the Double.Slit experiment and Heisenberg's Uncertainty Principle will correlate the above.
Kiranga. I agree, thanks. Lakini unapotaka kuelezea quantum entanglement baada ya superposition (i.e one particle at two quantum states), hapa tayari utakuwa unaongelea two particles (i.e. electrons). Sasa kama unataka kubaki kwenye analogy ile ile ili usiwaache sana wanaokusoma (kama intention ni consideration ya wale ambao hawaijui QM kabisa, Mkuu Tiger katoa mfano wa bibi) Inakuwa muhimu kuexpand analogy yule paka mmoja wawe wawili ili two particles in two quantum states zielezeke kirahisi...
Unalionaje hilo?
Ukifikiri one particle at two quantum states ni two particles hujaanza kuielewa quantum mechanics.
There is a reason it is called superposition, superposition means one particles exhibits two states (or more than one, essentially all its possible states) apparently "simultaneously".
So this is a case of one particle having many states "at the same time".
Tofautisha a particles (which may be in many states) na states za hizo particle.
There is a reason the experiment is called "The Schrodinger's Cat Experiment" and not "The Schrodinger's Cats Experiment".
There is only one cat, even after superposition. This is why it is so puzzling to us.
Had it been two cats, nothing about one being dead and another alive is puzzling.
First off, Schrodinger's Cat experiment deals with one cat in two states, not two cats in two states. Let's get that straight right off the bat. How anybody sees two cats beats me.
Actually, Heisenberg's uncertainty principle ndiyo inayosababisha kuwepo kwa states mbili na paka akawa kwa wakati mmoja huo huo yupo mzima na kafa, kama kwenye double slit experiment.
Uncertainty principle inakataza kuwa na specific momentum na position at any particular time, hivyo inaruhusu kuwa na a wave of probability regarding either, hivyo inaruhusu particle moja "kuwa" sehemu mbili kwa "wakati" mmoja, hivyo, by way of analogy, inaruhusu paka kuwa mzima na kafa kwa wakati mmoja.
"Wakati mmoja" of course is an entirely fictional concept as exposed by Einstein's relativity. As relativity revealed, there is no.such thing as "wakati mmoja", time is relative. If you really think deeply about the confusion.behind Schrodinger's Cat experiment, it stems.from.our classical mechanics view of the quantum world. We think "paka hawezi kuwa mzima na kafa kwa wakati mmoja huo huo" wakati there is no such thing as "wakati huo huo". This is a mere bias of the large scale universe. To a particle moving at the speed of light, the universe is timeless, time.stands still for it.
So, to that particle for example, everything happens at once and being in two positiins at the same time is what is normal. The particle cannot be only at one point at any particular time because all of time, from its perspective, is a single instant.
Here, uncertainty principle is the cause for the cat to be both dead and alive at the same time, not the limitation towards that end.
A general understanding of quantum entanglement, the Schrodinger's Cat experiment, Einstein's Relativity, the Double Slit experiment and Heisenberg's Uncertainty Principle will correlate the above.