Mbona mapaka ya hivyo yapo mengi tu sirikarini. Panya wanawapitia paka hadi miguuni na wakati mwingine wanashirikiana kuwaibia mali waliowaweka na kugawana. Muulize D. Kibamba akwambie!
Nachojua mimi kazi yapaka ni kukamata panya, sasa leo kunapaka hapa home panya kampitia miguuni kabisa, paka kamuangalia kwa dharau afu kampotezea, sijui alihisi akimfukuzia atasweat...