Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,837
Mandela aliwahi kusema, wakati wa harakati za ukombozi kuwa, wa Afrika kusini hawachagui rangi ya paka, paka mzuri si mweusi au mweupe, paka mzuri ni yule anayekamata panya.
Je Lowasa ni mtu sahihi kuwa rais?
Kwanini awe mpinzani sasa?
Je Lowasa ni fisadi?
Na mengineyo mengi!
Lowasa ni paka atakaye tukamatia panya - CCM 2020 Mungu akimpa nguvu.
Wapinzani tunapaswa kujua juu ya demokrasia ya nchi hii kuliko CCM, tunapaswa kujua kuhusu katiba ya nchi hii kuliko CCM, tunatakiwa kusikilizwa juu ya uminywaji wa haki katika nchi hii kwasababu katika yote, sisi tumeumia zaidi kwakuwa ndio tuliopigana zaidi!
Aluta continua
Victoria ascerta!