PAKA MJINGA HUYU HAaa

Ni mfano wa wauza madawa ya kulevya,mafisadi na wakorofi wengine kufahamika lakini hawachukuliwi hatua ahsante MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Huyu anaonekana tu kwani hata picha kapiga kwa haibu kwani anajuwa watu haswa paka wenzie watamcheka.
 
Yaani hadi macho karembua akiwatazama hao panya huyu paka punga:A S 27:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…