We si nnasikia una kisonono na kaswende? Sasa wataka umpunguzie Chocs virus kidogo?
Hivi na wewe unamsikiliza Nyani Ngabu,anaweweseka kwa umsongo wa mawazo yule kisa nilimnyang'anya mke,tena miaka mingi iliyopita,mke mwenyewe tushaana,ili alinizalia katoto kanaitwa manoah.
si nnasikia mke wa Nyani Ngabu ndie aliyekuambukiza?
Lizzy njoo hapa nataka kuongea na wewe kidogo,nimesikia kuna mikopo inatolewa Tanzania Womens Bank na wewe ni kibosile pale.
mmh....! Kama mwarushiana habari kwa style hiyo ngoja nisepe nisijesutwa buree!!!!!!!
Ntakuwa wa mwisho kufanya hivyo, mi mwenyewe Chocs anan'taka..!
mwenyekiti!!!!!!!!!