Ni aina ya manual au ni auto ?
Mhh, hiyo mupyaa kabisaYa kukokota na Ng'ombe!
Asante kwa ushauri.Nitamshirikisha fundi ushauri huuHio sio mbovu imeingia uchafu kwenye valve chase xoo inachelewa kupeleka transmition kwenye clutch cha msingi fungua sampo mwaga hydrolic yote safisha valvechase vizuri ikiwezekana iroweke kwenye petrol kwa muda km wa dakika 15 den zingatia kutumia hydrolic zenye ubora sio zile za elfu5.
Usipochangia unapungukiwa nini!
Kama ni auto haina jinsi kwani kila kitu ni haidrolic so badilisha complete hapo Meno ya mtungi wa ndani yatakuwa yamelika(kusagika )ila ingekuwa manual ningekueleza kiufundi kwani ndio fani yangu!Ni auto mkuu
Kariakoo pande zipi mkuu,pia kama naweza pata nose cut yake.Ntashukuru kwa maelekezogo to workshop mkuu,na angalia uwezo wa kupiga chin gearbox cz driven plate ndan gearbox vinashida or km ela ipo mkuu piga chin kachukue new gearbox karikoo tu..
Fundi kairekebisha baada ya kubadili gearbox oil.Na sasa imerudi katika hali yake.go to workshop mkuu,na angalia uwezo wa kupiga chin gearbox cz driven plate ndan gearbox vinashida or km ela ipo mkuu piga chin kachukue new gearbox karikoo tu..
yah,..nilikwambia mkuu bfore xo vizur pia kuwa inafanya kaz tena ila jaribu kupitia kariakoo kwa wapemba huku mitaa ya booking ya mabac ya tanga rahaleo tembelea kule..Fundi kairekebisha baada ya kubadili gearbox oil.Na sasa imerudi katika hali yake.
Ila amenitahadharisha nijiandae kunua gear box.