Pajero IO inauzwa 1999 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pajero IO inauzwa 1999

Discussion in 'Matangazo madogo' started by undugukazi, Mar 7, 2012.

 1. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  IMG-20111209-00148.jpg IMG-20120110-00279.jpg

  Nauza Pajero IO year 1999 imeingia Tanzania Nov 2011 na ilishatembea km 159000 ipo safi ingawa body yake inahitaji rangi kidogo ilikuja imekwaruzwa kidogo toka japan. Mwenye nia ani PM tutapeana maelekezo zaidi.
   
 2. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,030
  Likes Received: 2,648
  Trophy Points: 280
  Unaonaje ungetuwekea picha yake,transmission,fuel na namba yako ya simu!
   
 3. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  nimeweka picha tayari
   
Loading...