Binadamu by nature ni selfish,....
Kama unaweza au utaweza kuupinga ubinafsi ambao by nature tunao.
Basi wewe utakua unaishi maisha ya "kiutumishi",...a servant life.
Ukimfikiria mwenzako zaidi ya unavo jifikiria mwenyewe ni moja kati ya
mazoezi ya kiroho.
Binafsi,as natambua kwamba life is all about character development,
paja,firigisi atakula yeyote tofauti na mimi.
Na ikitokea nikapewa na mwingine,say mke wangu nitamshukuru maana
kanifikiria mimi zaidi ya alivo jifikiria,...that is love lakini isiwe principle kwamba
ni baba kila siku,au ni mama kila siku.
Life is all about sharing,and self denying brings blessings.
unaweza amua hata kumpa yatima uliya amua kumkaribisha kwa
chakula nyumbani kwako.au say,umeenda kuwatembelea na chakula.