Hapo ni kama unamnyanyapaa tu kaka wa watu wakati haya mambo yapo na yanakwaza wengi,mimi nikikumbuka mwalimu wangu wa hisabati form 2 alikuwa hivyohivyo,basi tangu anaingia darasani mpaka anatoka mimi utulivu ulikuwa sifuri ndani ya boxer yangu na ukizingatia kuwa wakati huo ndio balehe imekolea basi we!!Kwa upendo tu NECTA wakanizawadia F ya hesabu form two.