mgusi mukulu
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 715
- 682
Malaika kashuka toka mbinguni katika kila nchi inabidi atoe watu milioni 4. Ambao watasamehewa dhambi zao zote halafu pia nilazima wafe ili kupata hiyo nafasi je utakubali kama ukiwa mmoja wao ?
Kha! We wanitafutia dhambi.Malaika kashuka toka mbinguni katika kila nchi inabidi atoe watu milioni 4. Ambao watasamehewa dhambi zao zote halafu pia nilazima wafe ili kupata hiyo nafasi je utakubali kama ukiwa mmoja wao ?
Yaani kiroho safi!!!!