Hivi hii page ya necta facebook ni ya kweli au wanatutia presha tu. Maana wamesema matokeo yapo tayar na ndio wanaendelea kuyaweka kwenye mtandao. Alaf kama mtu anayataka yake atume namba yake ya mtihan inbox[/QUOTE
bila shaka utakuwa we ni product ya Mulugo kama unasuburu matokeo ukifauru mi najinyonga kwa spider web