Pafyum zina mambo

mashoba

Senior Member
Joined
May 8, 2014
Posts
145
Reaction score
42
Habar zenu wana forum, sina elimu ya kutosha kuhusu hili, naomba msaada wenu. Eti hivi kutokana na ugumu wa usafiri, kupanda daladala na kubanana sana, je kama situmii pafyum inawezekana nikarudi ninanukia pafyum.
 
Umeshawahi kirudi na harufu ya kwapa la mtu mwingine?
 
MMM! Mjanga,pafyum atie yeye kunukia unukie wewe? ebu jaribu kupanda na wewe hilo dala dala ukija uje na lipstick kwenye mfuko wa shati au kwenye flana ya ndani..........
 
MMM! Mjanga,pafyum atie yeye kunukia unukie wewe? ebu jaribu kupanda na wewe hilo dala dala ukija uje na lipstick kwenye mfuko wa shati au kwenye flana ya ndani..........

Kweli humu kuna uelewa tofauti,pafyum ina diffusion,lipstick haina unalinganishaje?Duh?
 
mbona hiyo kawaida sana kuna pafyum nyingine akipita mtu harufu inakata baada ya nusu saa
 
Sasa hivi situmii pafyumu, sijui nitakuwa nanukia beberu?
 
Heheee..... Daladala za wapi hizo zenye pafyumu?

Huku kwetu Gmboto labda utanukia shombo ya Samaki...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…