"Aliwahimiza waumini na jamii kusimama imara katika kutetea HAKI, na kufanya maamuzi sahihi bila KUOGOPA."
"Kutoa HAKI na kusimamia kwa ukweli ni jukumu letu la Kikristo na msingi wa AMANI katika jamii" Alisema Padre Kasana.
Huyu Kipanya katekwa kwa sababu zinazojulikana, na wahusika wanajulikana. Tuwe na ujasiri pia wa kuyasema mambo yalivyo bila ya uoga.
Samia na Genge lake wanawateka na kuwaua waTanzania kwa sababu wanausema ukweli kama ulivyo.