Kweli aisee, kumbe na wewe umeona ee?aichekeshi
Muwe munaweka topic za maana kwanini mnaleta utani na watumishi wa MUNGU?Kuweni makini..na topic zenu usicheze na MUNGU mtajiraani wenyewe.
Padri ni MUNGU?Muwe munaweka topic za maana kwanini mnaleta utani na watumishi wa MUNGU?Kuweni makini..na topic zenu usicheze na MUNGU mtajiraani wenyewe.
Padri mmoja alikuwa amechoka kusalisha,sasa alichokifanya akachukua redio halaf akajirekod hvyo ukifika mda wa sala anasimama halaf anafungulia radio, cku 1 akaisahau ile kanda nyumbani akamtuma mtumish wake akaichukue kumbe akaleta kanda ya taarab mara ikaanza ++ALAMBA,+ALAMBA,TENA,.waumin wakaitikia ''Aaamm aam
Huyu ile ya sheikh ilimchoma na ndo maana kaifanyia mageuzi kwa kubadili muhusika.Kumbe na padri pua, niludhani ni yule shehe tu...