Padri na Sheikhe.

fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Posts
2,984
Reaction score
1,031
[h=6]Padri na Shekhe walikutana kwenye ndege, Padri akamkaribisha Sheikh kitimoto, Sheikh akasema: hatuli. Padri akasema: mnakosa utamu!.
Wakati wa kushuka, Sheikh akamwambia Padri: nisalimie mkeo.
Padri akajibu: ss hatuoi.
Sheikh akasema mnakosa utamu!.
Jee! Kati ya Padri na Sheikh, nani anakosa utamu?
[/h]
 
wote wawili wanakosa utamu mana kila kitu kina utamu wake
 
Kwa xperience niliyonayo juu ya hivyo vitu viwili, naona Padri imekula kwake.
 
padre nan atamfundisha kutumia dawa ya penzi
 
hii Imetulia but Padri ndie anakosa utamu zaidi
 
wote wanakosa lakini padri zaidi.
 
Tunaolamba vyote tunafaudu!
... Padri bhana uwe siku mojamoja unananihiu!... Afu unaungama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…