Padri Hauawi, Hata Sheikh Pia...!

Asante kwa hisia zako lakini vyombo vyetu vya dola tunavilamu kwa kuwa havifanyi kazi kwa hiki.Alipouliwa RPC wa Mwanza

wahusika walisakwa kama nini nawalishakamatwa lakini mauaji ya wazi ya raia polis inakuwa wazito kuwasaka na kuwakamata wa husika.Laana hii italifikisha pabaya taifa letu wakubwa wa nchi wasipogeuka na kusimamia sheria za nchi
 

Maggid,
Umeongea ukweli 90%!!
Lakini hizo kumi ndizo zilizotakiwa na ndizo za msingi, na ndizo hata kiwete huogopa kuzitaja!
Kukemea,kusikitishwa watasikitishwa wengitu.....
Ile 10% uliyoiacha ni kuwalaani moja kwa moja waislamu muliomuua padri na mchungaji!! walaaniwe kwa matamko ya kulaani!! siyo kuchanganya ..eti na shehe hauawi...wapi Tz shehe kauawa!?

Hiki kitu ndicho alichotuzidi sana JK Nyerere ....akisema nchi yangu haina dini anawaambia hata mashehe wakiwa peke yao!! potelea mbali wakisema astakhafurilah!!
 

Hv waliompiga risasi yule padre wa kwanza pale ZNZ walishakamatwa?
 
Migogoro stil inaendelea siye yetu macho! Si vyema kuongea mabaya kwani haya yanafanyika na watu wachache. R.I.P Padre
 
Ngaliba,
Ahsante sana. Padri Manfred Mjengwa ni mdogo wangu. Ni kweli alikuwa Zanzibar kwa kazi ya utumishi. Kwa sasa amehamishiwa Mbeya. Nimempigia simu asubuhi hii kumpa pole ya msiba huu.
Maggid

Kama hizi chuki zinazopandikizwa zitamea, kwa mtazamo wangu Mjengwa utaadhirika sana kwa sababu kwa kadri familia na ukoo wako ulivyo, kumejaa waislamu na wakristo hata wapagani pia wapo.

Nliona picha na maelezo uliyotupa kwenye blog yak kuhusu ukoo wa mjengwa.

Hopefully, we'll never reach that stage.
 
Mr RAHISI ALIINGIA IKULU KWA AHADI TATA ... NA AMEKUWA AKIIMBA WIMBO HUO HUO ILI KURATIBU. UNATEGEMEA AKEMEE????
 
Mkuu maggid, Shehe ilunga anavyonukuu kitabu chenu kikisema ni lazma kulipiza kisasi, je unapingana na kitabu chenu?
Ivi unajua kuwa huyu shekhe Ilunga ni mpinzani ndani ya uislam. Haya madhehebu ya kisasa ni balaa tupu.
 
Hivi hawa inteligensia hawasikilizi yanayoitwa mawaidha misikitini?

Ukiuliza wananchi kwamba hivi sasa unataka rais ajae awe na sifa gani watakutajia mambo chungu nzima moja ikiwa kwamba awe na sifa ya ukali, mwenye kukemea na kuchukua hatua kwa wale wote wasio wajibika kwa nafasi zao, nk.......
 
wewe mwehu na mpuuzi uliyetukuka siamini kwenye jambo baya na kubwa kama hili ukatoa matamshi yenye mrengo wa kuunga mkono mauaji hayo nachelea kuamini kuwa muislam au uislam unausika katika hili isipokuwa kwa kuwa limetokea hatuna budi kukemea, sasa unataka kuniambia padre mushi ameukosea nini uislam mpaka auawe? kamwe siamini kama uislam unahusika! na kama umeusika sasa kwa kumuua mushi mmeongeza waislam wangapi? na uislam umeimarika zaidi? mmeshaletewa mrejesho nyuma na allah kuwa kazi ya kumuua mushi ameifuraia na ameongeza swawabu kwenu? ikiwa amerejesha huo mrejesho kwangu mimi ni nafasi pekee ya kumlaani allah wa aina hiyo na nitapinga milele uwepo wake, tuwe watulivu bado naamini ni wahuni tu waliotekeleza unyama ule wala si kwa mamlaka ya dini fulani; mpwa wangu ninayempenda sana ni muislam nimfanye nini nikiamini upuuzi huu? haina haja ya visasi aachwe mungu/allah afanye kazi yake kamwe binadamu hana uwezo wa kumsaidia mungu/alah kutoa adhabu, na anayejitwisha kazi ya kutoa adhabu kwa wanaadam wenzake akiamini anamsaidia alah na alaaniwe na hata allah mwenyewe anamlaani kwa kuwa anamdhalilisha kuwa hana uwezo mpaka asaidiwe na wanadamu, mungu/alah haitaji mwanadamu kutimiza adhabu zake akijua mushi anamkosea atasimamisha tu mzunguko wa damu wa mushi na hili anaweza haitaji huduma yako ya smg kutekeleza analotaka kwa viumbe alivyoviumba mwenyewe
 
Inteligensia, Mwema, Nchimbi, UHASAMA WA TAIFA ops! USALAMA WA TAIFA, wote wako rikizo.
 


Ndiyo maana wengine tunaamini mauaji haya yanafanywa kwa msukumo wa serikali yake na chama chake, na pengine maagizo yatokayo mezani pake!.... SI BURE!.. Najua mchango wako na wengine wenye msimamo kama huu waweza kutuweka matatani!
 
Inteligensia, Mwema, Nchimbi, UHASAMA WA TAIFA ops! USALAMA WA TAIFA, wote wako rikizo.


No wanabariki mauaji haya. Mipango ya mauaji haya iko wazi kwenye CD za mikakati ya waislamu kuua Wakristo. Mliopo DAR CD hizo zinauzwa ubungo na ilala.
 
I am confused...
Natamani niwachukie, niwadhulumu waislamu, but nikiwaza office mate wangu ni muislamu, ni mkarimu, tunaheshimiana, tunasaidiana... najiukuta nawaza mara mbili mbili...

Wala usiwaze mara mbili mbili timiza tu sera ya chadema
 
Ni nani achukue hatua?
Kabla ya hapo padre mwingine alipigwa risasi shingoni huko huko zanzibar kuna lolote limefanyika!?
Mchungaji Geita naye amechinjwa kuna hatua yoyote!!. Kuna tatiza la mfumo hapa!! Tutaendelea kupiga kelele "watiwe nguvuni" mpaka upande mwingine utakapoanza kujibu God forbid! Wengine humu JF wanamshinikiza Pengo atoe tamko!! ambalo kimtizamo ndilo linalosubiriwa ili upande mwingine utumie haki ya KUJILINDA. Tatizo la kimfumo linatatuliwa kimfumo!!
Mwanza sasa hivi makanisani viongozi wanawaeleza waumini kuwa wachinjaji/wauaji wako Mwanza hivyo wawe makini!! Ni mfumo hapa!! Iweje ieleweke kwa waumini kabla ya TISS!???
 
Nisiseme kuna harufu ya dini au kisiasa, kwa sasa niseme ni uhalifu au ujambazi. Nisidhani kwamba tukio hili lina uhusiano na tukio lingine ambapo padri alipigwa risasi. Lakini nijiulize kwa nini hawa makasisi wa RC wamekuwa wakishambuliwa na risasi, hili likiwa ni tukio la pili katika kipindi cha muda mfupi, kama polisi wameshindwa kufanya uchunguzi wa kina nadhani muda umefika wakawaambia kanisa katoliki kuwa wao wameshindwa na kwahiyo kanisa lifanye uchunguzi wake. Kwa taasisi kama ya RC hili suala litawachukua muda mfupi saana kuja na matokeo yenye tija. RIP father (+)Mushi.
 

Pia kumbuka wanamkataba na serikali ambao mpaka sasa haujatimizwa!...
Wanaua, halafu tunadanganywa eti wauaji hawajulikani!!... Huu ni uhuni!
 
PAMOJA NA UWEPO WA VYOMBO VYETU VYA DOLA,BADO KAMA TAIFA TUNAOWAJIBU WA KUZUIA MATUKIO HAYA,MAANA WANAOYAFANYA AU KUYATENDA NI MARAFIKI ZETU,NDUGU ZETU ,NA JAMAA ZETU,-NI VIJANA WENZETU,NI WANAJAMII WENZETU,TUSIKWEPE MAJUKUMU ,TUONYANE,TUSEMANE,TUWAKARIPIE WATU WANAOIBOMOA MISINGI YETU,TUSIKUBALI KUBEBA DHANA TU YA KULAUMU,TUJE NA MAJAWABU ,TUYAKATAE NA KUYAKEMEA HAYA TOKA Kwenye familiya ZETU .R.I.P PADRI.
 
Nasikitishwa sana na hukumu zinazotolewa dhidi ya Waislamu.
Mtu anaweza kuuwawa kwa mambo mengi sana, hata kama akiwa ni mcha Mungu wa kiasi gani. Si lazima Padri auwawe na WAISLAMU au SHEIKH auwawe na WAKRISTO.
TUTAFAKARI KWA KINA JUU YA HAYA.


Acha uhuni wewe!.. Nani kamuua padri kama si waislamu?!!!!... Serikali tumeipigia kelele tangu CD za mipango ya mauaji ilipotoka septemba mwaka jana mpaka sasa hawajali na waandaaji wa CD za kuhamasisha waislamu kuua wakristo zinaendelea kuzagaa mitaani. Wewe unaswali wapi?!!!!
 
I am confused...
Natamani niwachukie, niwadhulumu waislamu, but nikiwaza office mate wangu ni muislamu, ni mkarimu, tunaheshimiana, tunasaidiana... najiukuta nawaza mara mbili mbili...

kwani nani kasema aliyeua ni muislamu? na hata kama ni muislamu unajuaje kama ameua kutokana na visa vya kidini? mimi binafsi sitaki kuamini hivyo labda kama vyombo vya usalama vitupe ukweli lakini sio vyema kuhukumu moja kwa moja kuwa walioua ni waislamu ndugu zanguni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…