Padre Mchunguzi amkosoa Rais Samia kwa kauli yake kuwataka viongozi wa dini kutodandia ajenda za kiasi

Padre Mchunguzi amkosoa Rais Samia kwa kauli yake kuwataka viongozi wa dini kutodandia ajenda za kiasi

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
3,611
Reaction score
9,269
Hakika yajayo yanafurahisha. Kumeanza kupambazuka na giza linaanza kutoweka taratibu....

Sikiliza namna Padre Mchunguzi anavyomkosoa Rais Samua katika namna ya kumuona mtu asiye na ufahamu na uelewa kabisa. Na possibly ndivyo ilivyo...

Anasema;

"...Juzi hapa nilimsikia Rais akisema, ooh viongozi wa dini msidandie ajenda za kisiasa. Nilimtazamaaaa, nikamwangaliaaa, nikasema hivi huyu mama vipi lakini? Tusidandie ajenda za kisiasa wakati waumini wetu wengine ni wanasiasa na wapiga kura...??"

Hebu fuatilia video hii ambayo quality yake sio nzuri kidogo, lakini ujumbe unafika kwa usawia wake...

Sasa kunaanza kupambazuka, giza linatoweka...

Yajayo yanafurahisha...

 
Mimi ndiyo maana mpaka kesho huwa ninaukumbuka msemo maarufu wa bibi yangu aliyekuwa akinimbia miaka hiyo "mjukuu wangu; hapa duniani ni bora ukose mali, upate akili"

Aisee akili ni muhimu sana. Tena common sense ndiyo akili muhimu kuliko zote.
 
Back
Top Bottom