Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kuwa matukio yaliyotokea nchini hivi karibuni wakati wa uchaguzi siyo ya kwanza katika historia ya Tanzania. Amesisitiza kwamba mwenye dhamana juu ya yaliyotokea anapaswa kuwajibika pamoja na wasaidizi wake, na akiri kuhusu mauaji yaliyofanyika.
" Mwenye dhamana yaliyotokea yupo awajibike na msaidizi wake na wa chini yake, na wale wakiwajibika wataponya nchi na watarudisha heshima kimataifa lakini kuwajibika kwa mtu wa chini kama huyu wa juu hataki kukiri ukweli ni tatizo"- amesema Padre Kitima