Great thinkers tuliona wazi kuwa jamaa analazimishia ukaribu na jikoni....ndio maana hukuona tukimsupport humu jamvini.bongo kila mtu anajifanya anapajua jikoni. Hamjui kitu, acheni kudanganyana.
Mwenyezi Mungu akuhukumie sana gentleman 🐒Bandiko reefu lakini halina uhusiano na kinachozumgumziwa. Zungu na Samia wanaamini hilo andiko ulilonukuu?
Acha uchawabange!!
nilichofurahi sijaona akipewa kipaumbele cha maana despite zile swaga zakeKabisa... Walistuka mapema na ndiyo maana walimpa ubalozi wa Tanzania wa heshima.
Tumehoji hivyo kikebehi, kumkebehi mzee mmoja humu aliyesema kuwa tukio la kutembelea lilipangwa.....ndo tunahoji; na kule kuumia kwa pacome kumepangwa pia?!!!! Atujibu mzee huyo muovu.MKANGAFFU na Dr wa Manesi mnachopeana pongezi ni nini?
Yaani Pakome kuumia kwake ni kwa nini mnadhani kuna mtu anaweza kusema ilikuwa kisiasa. Kuwaza tu wazo hilo hamuoni mnashangaza?
Sasa MKANGAFFU swali halali kabisa unalibezaje. Au hata protokali za kimadaraka kuhusu ziara huzijui?
sijui na si pretend kujua vuilivyopo. Acheni false pretense.Sasa wewe ndiyo unajua jikoni pakoje?
HatudanganyikiZiara hizi zimeratibiwa kiufundi kwa lengo la kisiasa ama imetokea kwa nasibu tu?
Kuchanganya lugha kwenye sentensi moja huo ni udhaifu.sijui na si pretend kujua vuilivyopo. Acheni false pretense.
Hawana njia nyingine yoyote ya kuwatoa kwenye mbano wa uhakika unaowasubiri.Kwanini sasa na si siku zingine zote
Oya huyo MKANGAFFU na mwenzie ukiji-attach nao sana hao viazi utadata ni dizaini ya Makebo na Mopak viazi mviringo akili zao zimekaa hivyo km maziwa yaliyogandaMKANGAFFU na Dr wa Manesi mnachopeana pongezi ni nini?
Yaani Pakome kuumia kwake ni kwa nini mnadhani kuna mtu anaweza kusema ilikuwa kisiasa. Kuwaza tu wazo hilo hamuoni mnashangaza?
Sasa MKANGAFFU swali halali kabisa unalibezaje. Au hata protokali za kimadaraka kuhusu ziara huzijui?
Unajichosha.Kuchanganya lugha kwenye sentensi moja huo ni udhaifu.
Nani ameonesha kuwa anajua vilivyopo(wapi?) ambavyo wewe unasema havipo?
Kama wewe hujui kilichopo unajuaje sasa kama wenzio wanachokisema hakiko kama kilivyo?