Pacome Aitwa timu ya Taifa ya Ivory Cost kwa Mara ya Pili

Yanga ilipoteza mechi dhidi ya Belouizdad kwa uzembe kama huu wa wachezaji kwenda timu ya taifa ikasababisha Diarra kushindwa kucheza mchezo kule Algeria. Naona jambo hili linajirudia tena na mbaya zaidi ni wachezaji wengi wameitwa ambao ndio first eleven ya Yanga. Bora hata timu ya Zambia wao wanacheza mapema tu tarehe 23. Ila kwa Pacome, Diarra, na Aziz Ki wao ni mpaka tarehe 26 ndio wanacheza. Hivyo tarehe 27 wanatakiwa waanze safari ya kurudi Tanzania, Je uongozi wa Yanga utakuwa wapo tayari kuwakodia ndege binafsi ili wawahi program ya mwisho ya kocha au ndio usafiri wa kuunga unga?
 
Daah Yanga tunaweza kushindwa kizembe sana.
 
Aibu kwa wale mbumbumbu waliokuwa wakimkejeli na kumponda.
Dah! What a player! Jana tarehe 10/10/2025 kijana akiwa amevaa jezi na 7! alianza na kucheza dakika zote 90 za mchezo wa kufuzu kombe la dunia dhidi ya timu ya Taifa la Ushelisheli na kuisaidia timu yake kuondoka na ushindi mnono wa goli 7-0!!

Imagine kijana aliwaweka nje mastaa kibao tu wa timu yake ya Taifa akiwemo Nicholas Pepe!

Hongera sana Pacome Zouzoua! Naamini mwakani panapo majaliwa, utaenda kucheza kombe la dunia. Maana kwenye mechi yenu ya mwisho nyumbani mkishinda tu, moja kwa moja mtakuwa mmefuzu.
 
Back
Top Bottom