"Package" kwa askari ndio nini?

pacoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
650
Reaction score
415
Hbr ba ndugu,naomba kujuzwa neno "package" kwa askari lina maana gani?Nauliza kwasababu kunasehemu nilikua nikakuta màbishano makali ya askari police vs magereza,police akimwambia magereza nyie sio askari ni mgambo ndio maana Rais hawapi package,Hilo neno ndio nn?maana mabishano yalikua makali nusura yalete ugomvi wa ngumi baina ya yao.
 
Ungewauliza mkuu au uliogopa ngumi zingehamia kwako?
 
Marupurupu nje ya mshahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…