Fanya mpango muolewe na mwanaume mmoja
tatizo husomi vizuri izo post zangu, iko ivi mamamkwe bado ni pasua kichwa,doto ndo ivo anakula vyangu japo natarajia kuolewa.........................., umenielewa mkuu???????????hahahaha..huyu si mkweli.
hapa hakuna cha boriti wala kibanzi, mcharuko ni mcharuko tuuuuuuuuuuuu= mkubwa kamzidi mdogo angalau kwa mwanaume mmoja (>=1) na anamwita mdogo "mcharuko", itakua boriti na kibanzi.
Mpwa MMU imevamiwa na vitoto vinavyokaribia kuvunja ungo ambavyo vimemaliza fom föo ya kihistoria 2011
ingekuwa kuwa na mpenzi, kupata mikasa ya kimapenzi ni umalaya basi asingesalimika m2 hapaaaaa,mpaka kwa mababu zetu hukooooooooooooumalaya at its place
golden girl, Acha zinaa. sio nduguyako tu yupo kwenye hatari, Hata wewe upo kwenye hatari mbalimbali
Mrudieni MUNGU wenu , hizi ni siku za mwisho jamani
Na yule mwenye tabia ya kuzini na wanaume wenzake nae yumo kwenye list ya waliolala na Dotto?