Hivi kwanini we muongo muongo!
hahahaha..huyu si mkweli.Halafu...si ulisema unaolewa week hii so doto analala na mumeo mtarajiwa..vipi maandalizi ya harusi...na je mama mkwe sio pasua kichwa tena..na huyo mumeo mtarajiwa ameacha kukutesa....u r contradicting urself gal
tumezaliwa mapacha tunaofanana sana kiasikwamba hata marks zetu darasani zinakaribiana sana.tunapendana saaana. lakini tatizo huyu mdogo wango (doto) kila napokuwa na uhusiano na mwanaume na yeye pia anamtaka huyo huyo, atafanya juu chini mpaka ata............ naye. mbaya zaidi wanaume inawachukua muda sana kututofautisha na hapo ndipo twin wangu anachukua nafasi.nifanyeje jamani?????
angalizooooo: ni ushauri tu unahitajika ndugu zangu wapenzi na sio kejeri na matusi
hahahaha..huyu si mkweli.
Umesema ninyi ni mapacha,na mnakaribiana almost hata akili na kwamba kila ukichukua bwana na yeye anamtaka huyo huyo hii ikiwa na maana akishachukua unamwachia unasonga mbele! Sasa basi,unatuthibitishiaje kwamba wewe si mcharuko na kwamba mdogo wako ndiye mcharuko?
Kwa Mathematicians watakuambia, ikiwa umemchukua mwanaume X na doto akamtaka ina maana utamwachia ukaongeze mmoja i.e,( X + 1) Doto akikusogelea utamwachia ( X + 1) utasomeka (X+1) + 1 na kuendelea kwa maana hiyo kajipange tena ama uedit post yako kwa kuwa kimahesabu wewe ndiye utakuwa mcharuko!
Hizi porojo zenu sijui mtaacha lini...kila siku vihadithi vya kutunga tunga tu!!!
hata huku JF amekufuata? maaana umesema kla unachofanya naye anafanyatumezaliwa mapacha tunaofanana sana kiasikwamba hata marks zetu darasani zinakaribiana sana.tunapendana saaana. lakini tatizo huyu mdogo wango (doto) kila napokuwa na uhusiano na mwanaume na yeye pia anamtaka huyo huyo, atafanya juu chini mpaka ata............ naye.