golden girl
Member
- Jun 19, 2013
- 66
- 2
Tumezaliwa mapacha tunaofanana sana kiasi kwamba hata marks zetu darasani zinakaribiana sana.
Tunapendana sana lakini tatizo huyu mdogo wango (Dotto) kila napokuwa na uhusiano na mwanaume na yeye pia anamtaka huyo huyo, atafanya juu chini mpaka ata*** naye.
Mbaya zaidi wanaume inawachukua muda sana kututofautisha na hapo ndipo twin wangu anachukua nafasi.
Nifanyeje jamani?