Rugaikamu
Member
- Aug 8, 2017
- 37
- 20
Maisha ya watoto pacha waliozaliwa wakiwa wameshikana yako hatarini iwapo hawataondolewa ukanda wa Gaza, kwa mujibu wa madaktari.walizaliwa Jumamosi na mmoja wao anatajwa kuwa dhaifu kuliko mwingine.
Alam Abu Hamna kutoka hspitali ya Shifa, ilisema kuwa hali inayowakumba watoto hao wasichana ni ngumu na kwamba haiwezi kutatuliwa na madaktari wa hospitali zilizo ukanda wa Gaza. Ilisema kuwa matumaini ni kuwa watoto hao watasafirishwa ng’ambo ili watenganishwe
Watoto hao walizaliwa Jumamosi na mmoja wao anatajwa kuwa dhaifu kuliko mwingine.
Hata hivyo kila mmoja ana moyo wake na mapavu. Mapacha ambao hutumia kiungo kimoja mara nyingi hukumbwa wna hatari ya kuishi. “Maisha yao yako hatarini, ni hali iliyo ngumu,” Dr Abu Hamna alinukuliwa akisema na gazeti la Times la Israel.
Watoto hao walizaliwa Jumamosi na mmoja wao anatajwa kuwa dhaifu kuliko mwingine.Alisema hali ya mmoja wa mapacha hao iko shwari la mwenzake yuko hali mbaya na anahitaji matibabu.