Maendeleo tu
JF-Expert Member
- Oct 9, 2010
- 347
- 107
Vyanzo vya taarifa za Kamati ya PAC ni CAG, TRA na PCCB.
Ulisema PAC ni waongo, basi CAG, TRA na PCCB nao pia ni waongo.
PAC imetoa taarifa juu ya fedha za escrow kwa umahili mwingi sana. Wametoa vielelezo vingi. Kwa weledi wao ilikuwa rahisi kutuaminisha. Mimi sikutegemea kabisa kuwa vielelezo vile si vya kweli.
Prof. Muhongo metuletea taarifa kinzani. Hoja za akina zitto na mheshimiwa Filikunjombe zimepanguliwa kwa ustadi na umahiri mkubwa tena kwa kujiamini. Tutaujua ukweli? PAC ina taarifa za kweli kuliko serikali? Je Muhongo anaweza kusema ukweli kuhusu Taarifa za PAC au amesema mambo yale tetezi kwa kujitetea tu?
Tito
Unaonaje ukirudi kwenye hoja ya msingi ndugu. Nakushauri ujibu hoja kwa hoja siyo matusi. Hii haina tofauti na wapiga klele bungeni.
Ungekuwa karibu ningekutia bisibis ya mat..ako... Umekuwa ukiudhi sana.. Sijui mabwana zako wanakulipa bei gani?
PAC imetoa taarifa juu ya fedha za escrow kwa umahili mwingi sana. Wametoa vielelezo vingi. Kwa weledi wao ilikuwa rahisi kutuaminisha. Mimi sikutegemea kabisa kuwa vielelezo vile si vya kweli.
Prof. Muhongo metuletea taarifa kinzani. Hoja za akina zitto na mheshimiwa Filikunjombe zimepanguliwa kwa ustadi na umahiri mkubwa tena kwa kujiamini. Tutaujua ukweli? PAC ina taarifa za kweli kuliko serikali? Je Muhongo anaweza kusema ukweli kuhusu Taarifa za PAC au amesema mambo yale tetezi kwa kujitetea tu?
Tito
maswali gani bado hayajajibiwa?Tito,ungelifanyia kazi hoja za Muhongo kama ukiwa na fikra huru bila kuweka urafiki au upenzi basi ujue,hakuna cha maana zaidi ya kujitetea kwa watawala wetu.
Kuna maswali mengi ambayo kuna watanzania wengi tunayo yamekosa majibu.Ukiliangalia sakata zima halina tofauti na namna ambavyo pesa za EPA zilichotwa kwa kisingizio mwenye nazo hajulikani.Na njia ni ile ile iliyotumika kuzikwapua.
Ukiwa mjanja utaelewa vyema zaidi kwa kujiuliza maswali mengi zaidi.Imenifanya nimdharau hata rais wangu,kuwa ni rais mdhaifu sana na yupo kwa maslahi zaidi.
unadhani CAG, TRA na PCCB hawawezi kuwa waongo?[/QUOT
kwa hiyo tumuamini muhongo? tuache kuziamini mamlaka za uchunguzi, ebu nipe sababu why nimuamini mtuhumiwa.
Kwa hiyo muhungo/pinda/werema wana CAG wao ambaye alifanya uchunguzi na kuja na taarifa ya ukweli?
Huu ni ujuha wa hali ya juu sana
pac wanapelekwapelekwa tu na reginald mengi
unadhani CAG, TRA na PCCB hawawezi kuwa waongo?
maswali gani bado hayajajibiwa?
Tito,ungelifanyia kazi hoja za Muhongo kama ukiwa na fikra huru bila kuweka urafiki au upenzi basi ujue,hakuna cha maana zaidi ya kujitetea kwa watawala wetu.
Kuna maswali mengi ambayo kuna watanzania wengi tunayo yamekosa majibu.Ukiliangalia sakata zima halina tofauti na namna ambavyo pesa za EPA zilichotwa kwa kisingizio mwenye nazo hajulikani.Na njia ni ile ile iliyotumika kuzikwapua.
Ukiwa mjanja utaelewa vyema zaidi kwa kujiuliza maswali mengi zaidi.Imenifanya nimdharau hata rais wangu,kuwa ni rais mdhaifu sana na yupo kwa maslahi zaidi.
Soma taarifa zote harafu anzisha uzi ambao unakuwa na utafiti kamili si hiki kituko.
asilimia 90 ya data za pac wanachukua kutoka kwa cag na pccb,
hao nao wanafuata maelekezo ya mengi,,
unaonaje...
Tumia akili