Taarifa ni ya zitto au PAC? Yaani wabongo sijui mnafikirije? Hovyo kabisa dada, acha upofu
Hii ni pesa ya umma wa Tz hakuna ambaye hajui hili na raisi ameshindwa kusema ukweli kwa sababu hata yeye anahusika kwenye huu mgawo na waziri mkuu,ndio maana walisema kuna watu walichukua pesa kwa kusaini tuu bila kuandika majina,nyie mnalalamika waliotajwa ni wale waliopewa ile B 3 tu je wale waliopewa ile B 70 wako wapi??hizi ni pesa za umma wa Tanzania wengi hivi sasa tuna akili timamu jamani
Kwanini hamumuulizi Zitto analipwa na nani kuwadanganya Watanzania?
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliwajaza hasira wananchi pale ilipotoa taarifa potofu bungeni kuwa fedha zilizokuwa kwenye Akaunti ya Escrow ya Tegeta zilikuwa zimechotwa. Wananchi walikuwa na haki ya kujawa na hasira kwa sababu walilishwa taarifa iliyoonyesha kuwa fedha zao (za umma) zimechotwa na wajanja wachache. Hata baada ya Mkuu wa Nchi kubainisha kuwa fedha hizo hazikuwa za umma, inashangaza kuona wanasiasa wengine, akiwemo mwenyekiti wa PAC, bado wanaendelea kuwachochea wananchi kwa kurudia kuwalisha taarifa potofu.
1. Mtu mwenye akili timamu kama unavyo jinasibu wewe, hawezi hata kidogo kuwatuhumu watu wengine.
2. Je, unao ushahidi wa kuwahusisha Rais na Waziri Mkuu.
3. Jenga hoja ambayo unaweza kutushawishi tukukubalie. Rais aliwasihi watanzania muisome taarifa ya CAG na yeye alipotoa ufafanuzi alitumia Ripoti hiyo hiyo kwa kutaja vifungu. Wewe unakuja na porojo nyepesi, unataka nani akuamini?
4. Wale wote ambao hamtaki kujenga hoja, ni bora mkakaa kimya, porojo zetu haziwezi kubadilisha msimamo alioutoa Rais. Yeye ndiye mwenye nchi. Kuendelea kumbishia na kumtuhumu Rais na watu wengine pasipokuwa na ushahidi wowote kwa kuamini propaganda za Zito na Kafulila ni utovu wa nidhamu tu.
napata shaka na ufamu wako na pia kama ni kujipendekeza umekithiri.swali la msingi ndani ya pesa ya escrow hakukuwa na kodi ya VAT?ukiita kodi huwa mali ya IPTL au umma?sijawahi kusikia daima kuwa kodi inageuka kuwa ya mtu binafsi badala ya kuwa mapato ya umma.1. Mtu mwenye akili timamu kama unavyo jinasibu wewe, hawezi hata kidogo kuwatuhumu watu wengine.
2. Je, unao ushahidi wa kuwahusisha Rais na Waziri Mkuu.
3. Jenga hoja ambayo unaweza kutushawishi tukukubalie. Rais aliwasihi watanzania muisome taarifa ya CAG na yeye alipotoa ufafanuzi alitumia Ripoti hiyo hiyo kwa kutaja vifungu. Wewe unakuja na porojo nyepesi, unataka nani akuamini?
4. Wale wote ambao hamtaki kujenga hoja, ni bora mkakaa kimya, porojo zetu haziwezi kubadilisha msimamo alioutoa Rais. Yeye ndiye mwenye nchi. Kuendelea kumbishia na kumtuhumu Rais na watu wengine pasipokuwa na ushahidi wowote kwa kuamini propaganda za Zito na Kafulila ni utovu wa nidhamu tu.
Huna akili nzuri wewe, rushwa imekuwehusha1. Mtu mwenye akili timamu kama unavyo jinasibu wewe, hawezi hata kidogo kuwatuhumu watu wengine.