PAC ilivyowajaza hasira wananchi

​hii ndo shida ya kupiga viroba asubuhi, zinakuja thread za mazingaombwe kama hizi
 
Wewe uko biased na mambo fulani fulani ambayo sio vyema nikayasema hapa! Ashk majinuni zina taabu sana

1. Unapokuwa na mashaka ambayo huwezi kuyathibitisha alafu ukajielekeza kwenye kutumia lugha isiyo na staha, unajidhihirisha kuwa huna hoja bali hisia.

2.Jenga hoja watu wakuelewe ili wakubaliane na wewe au waichane. Vinginevyo ukikaa kimya ukasoma wenye hoja itakusaidia na kukujenga. Elimu ni popote siyo mpaka uwe darasani.
 

If so mbona misaada hatujapewa bado, awambie wazungu yale yale aliowaambia wazee wa dar ili misaada ije basi.
 
Hakika PAC walikuwa na malengo machafu! Zito ni wazi anatumiwa na SCB kupelekea kulipwa asichostahili. Kama SCB anadai angejitokeza na kudhibitisha deni lake. Hata sasa akidhibitisha atalipwa na IPTL. IPTL ni solvent company. Kuwa Creditor hakumfanyi kumilki IPTL., SCB waaache hizo kuwatumia kina Zito, haifai tena tumeshawagundua!
Uma tumzomee Zito kwa uongo wake na usaliti wake kwa nchi. Anatumiwa huyo!Hafai!
 

Siku hizi raisi ndiye mkaguzi mkuu wa serikali (CAG) na hiyo ni ripoti yake. Asante mh. prof. JK!
 

Najuta ni kwa nini nimefungua hii thread, nimepoteza muda wangu bila sababu za msingi.
 

Wewe unaona hazikuchotwa? Jiulize wewe ni nani katika jamii hii uliyeshindwa kujua hili wakati mpaka rais wako kajitahidi kutoa elimu kwa kadiri ya uelewa wake na kulazimika kukiri kuwa hata aliyekuwa mwanasheria mkuu anajua kuwa alichangia hizo pesa za umma kuchotwa ndio mana akamruhusu aishie uraiani
 
Jaman tusiwe wavivu wa kufikiri na tusijibu hoja kw ushabiki,hvi hata huyo rais yey anaweza kufafanua ripoti zote peke yake na washaur wake vizur kuliko kamati za bunge na wabunge wote?pia kwanin aseme kwenye hizo pesa kuna kodi na wamekubali kulipa baada ya kufufua huo uzembe au wizi,kwanin hawakulipa kabla hyo kodi mpaka kafulila alete hoja hyo?
 

Haya ni mwazo na hisia zako. Sababu za AG kujiudhuru
ziliwekwa wazi. Ulizozitaja humu ndiyo kwanza tunazisikia. Wewe pia ni mzushi ndiyo maana unamuamini Zito moja kwa moja.
 

Mkuu rejea uzi wako "Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow". Unaikumbuka hii?
 

Rais mwenyewe mwizi , nani anamsikiliza mwizi?
 

kwanza kumbuka kuwa mwenyekiti wa PAC anaishi kilaghai siyo msema kweli muongo na tapeli.
 
Kwani kikwete yeye ni nani,hata anaweza kubadili ukweli kuwa uongo?
 

inabidi wapelekwe ICC kwa uchochezi
 
Usitufanye wajinga bwana Fedh sio za Umm
a zilikuwa za nani Ccm au ???
 
Rais mwenyewe mwizi , nani anamsikiliza mwizi?

1. Unaweza kuthibitisha tuhuma zako?

2. Hii inakumbusha jana kwenye BBC Dira ya Dunia, nilisikia mwanafunzi mmoja nchini Kenya, amehukumiwa kifungu jela kwa kumdhalilisha Rais Uhuru Kenyatta.

3. Inaweza kuwa kwa kutokujua ukatenda kosa ambalo unaweza kulijutia maisha yako yote. Tusitumie vibaya Uhuru wa habari. Tuvitumie kwa kuheshimu uhuru na haki za watu wengine. Rais, asikashifiwe hovyo hovyo. Kama wewe unajiamini kwa tuhuma zako, itisha mkutano mtaani kwako uzitoe zote bila kificho na siyo kujificha hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…