P.I.D ni pelvic inflammatory diseases
kimsingi ni ugonjwa unaosaababishwa na maradhi mbali mbali.
hasa haya magonjwa ya zinaa kama gonorrhea,syphiliss na mengineyo mengi.
ni kweli huweza pelekea mwanamke kutopata ujauzito na shinda nyinginezo kama maumivu makali ya tumbo la chini.
tiba ipo na inapatikana hata kwa vituo vingi vya afya hapa tanzania.
ni vema kuenda katika kituo cha afya ili waweze jua extent ya tatizo ili wajue ni dawa ipi itafaa kwa hali halisi ya mgonjwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.