"oysters, arugula and asparagus"

  • Thread starter Dr. Donald A Jitta
  • Start date

D

Dr. Donald A Jitta

Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
13
Likes
0
Points
0
D

Dr. Donald A Jitta

Member
Joined Jun 4, 2013
13 0 0
Samahani wanajukwaa, naomba kujuzwa kwa kina zaidi juu ya vyakula hivi:
1. Oysters.
2. Arugula na Asparagus.
Naomba kujua aina tajwa hapo juu ya vyakula kuwa ni vyakula vya aina gani kwa hapa kwetu Tanzania, mifana ya vyakula vilivyo tajwa katika No. 1 & 2 kwa vyakula vyetu vya kitanzania ni kama ipi, je aina tajwa za vyakula hapo juu pia vinaweza kuwa vinasindikwa viwandani na kuuzwa katika maduka ya vyakula na kama jibu ni ndiyo kwa kipengele hiki, je katika maduka hayo ya vyakula vinajulikana hasa kwa majina gani? Na swali langu la mwisho ningependa kujua matokeo chanya au hasi katika mwili wa binadamu pale anapotumia au asipotumia vyakula tajwa hapo juu.
Ahsanteni
 

Forum statistics

Threads 1,275,224
Members 490,932
Posts 30,536,104