Oyeeeee!

Abdulwahid

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
2,766
Reaction score
1,578
kidumu ........
 

Attachments

  • 1429470053129.jpg
    64.9 KB · Views: 3,272
Unaweza kukuta anamiaka 46 lakini ccm imemfanya aonekane kama miaka 89. Kaa mbali ccm

Swissme
 
Aisifuye mvua huyoooo uliza watoto wake wako wapi kama utamkuta hata mmoja Tz
 
Aisifuye mvua huyoooo uliza watoto wake wako wapi kama utamkuta hata mmoja Tz

kweli mkuu wako sauzi wameenda kufanya umachinga, wengine tayari wameshachezea mapanga, na serikali haina habari
 
Huyo mbibi ni mmoja wa waasisi wa TANU jamani mwacheni aendelee kufaidi matunda ya kazi yake
 
without disrespect to our elders..mabibi kama hawa ndo wanasababisha nchi isipige hatua kwa ku-cram mambo ya ccm tuuu vichwani mwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…