Oyaah Mwanaume usife kwasababu ya Mwanamke!!

Oyaah Mwanaume usife kwasababu ya Mwanamke!!

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
1,351
Reaction score
3,878
Kwenye Bustani ya Edeni mshua adam alikubali kula tunda la ujuzi wa mema na mabaya ambalo alipewa na mwanamke na akakubali kifo kiingie na mpaka leo TUNAKUFA, Mfalme suleiman alikuwa mtu mkuu lakini wanawake ndio waliua ukuu wake, Samson na wana kibao kwenye biblia walikufa kwa namna tofauti kwasababu mbalimbali zilizowahusisha wanawake.

Kama ushamfuatilia Yesu mwenyewe kwenye biblia aligoma kujihusisha na wanawake hata kufikia kuwachagua mitume 12 wote wakiwa wanaume wewe huogopi?

Oyaa Biblia inasema hivi ishini na wake zenu kwa akili sio akili hizo unazojua wewe bali uwezo wa juu kimamlaka ambao wanaume wachache sana wanayo hiyo mamlaka.

Oyaaa we mwanaume nachotaka kukwambia ni kwamba nyoka na mwanamke lao moja.. "Nyoka ni kiumbe mwerevu, mwanamke ni kiumbe shupavu so mwanaume hutakiwi kuishi nao kipumbavu."

Ndoto zako zisikufe kwasababu ya mwanamke

Nguvu na mamlaka yako zisishuke kwasababu ya mwanamke.

Malengo yako yasikwamishwe kwasababu ya mwanamke

Furaha na Amani visipotee kwasababu ya mwanamke

Oyaaa usikubali mwanamke akuvuruge mpaka ufe.

Mwanaume unayetawaliwa na mwanamke hauna tofauti na mtoto wa kiume mwenye tabia za kike.

Oyaaa weeeh waiter leta nyingineeeee!🍺🍖
 
Suleiman pamoja na kuomba HEKIMA Kwa Mungu nabado akaingizwa cha kike.

Je ukikosa HEKIMA utaingizwa wapi?
 
Back
Top Bottom