Oyaa nimeuza coin za GVC tukutane bar

Oyaa nimeuza coin za GVC tukutane bar

Ni Mimi Hapa

Member
Joined
Aug 22, 2025
Posts
14
Reaction score
25
Habari zenu. Ni muda mrefu nimekuwa nikikusanya GVC coins kupitia referral na rewards mbali mbali. Lengo langu lilikuwa kufikisha coins 1100+ ili kuuza kwa GalaxyMarket kama wanavyoonekana hapo kwenye picha, kwani kipindi cha mwanzo nimeisha wahi kuuza coins 347 kwa QuantamFx ili kujaribu. Nilipoona inawezekana, sasa nikaweka nia ya kukusanya coins angalau kuanzia 1100+ kumkamata GalaxyMarket au hata TitanHoldings kama ikiwezekana, maana mpunga wake umechangamka.

Kilicho nifanya kuamua kuuza coins bila kufikia malengo ni kutokana na changamoto za hapa na pale. Nikawaza kwenye Gavana Edge yangu nina kiasi cha coins kama mnavyo ona, maana habari picha ni umbea.
cad.png

Nimefanyaje? Mchakato upo hivi: Kwanza, kwenye miezi michache iliyopita nilikutana na post X (Twitter) inayoelezea namna ya kukusanya coins na matumizi yake. Nami nikazama field. Nimekuwa nikitumia Gavana Edge kwa muda mrefu, ila sikuwahi kuzingatia hii kitu.
cad12.png

Kwenye screen ya Gavana mwanzoni kuna buttons zipo hapo chini. Upande wa kushoto kuna button ya "Option", inakuletea mpangilio wa programu. Chini kuna option imeandikwa "Boost Your Business". Hapo utakutana na ukurasa wa kutengeneza matangazo ya biashara yako. Juu kuna button ya "Campaign Manager". Ukienda hapo, kuna sehemu inakuonesha matangazo yako na juu kabisa kuna code zako maalumu. Hizo unazi-copy na kwenda kuzipaste kwa mtumiaji mwingine wa programu. Utaona kuna sehemu ya kuziweka. Nimefanya hivyo nimekusanya watu zaidi ya 120+ kupitia WhatsApp, Telegram, n.k. Kila wakilipia subscription, mimi napata reward.
cad1.png

Nimewezaje kuwashawishi? Kila aliyedownload programu nilimwambia ajaze code yangu ili kui-activate programu. Nao walifanya hivyo. Uzuri ni kuwa, akiisha kuweka code, mimi nitaendelea kupata rewards kutoka kwake kwa kipindi cha miezi 5, na hilo hawezi kuzuia.

GVC inatumikaje? Hii coin unaweza kulipia subscription, kulipia tangazo lako la biashara. Unaweza kummuzia mtu binafsi mnaofahamiana ukamuamishia akakupatia cash kwa makubaliano yenu. Pia unaweza kuuzia makampuni kama yanavyoonekana kwenye picha. Kila kampuni lina kiwango chake; ni lazima ukifikishe. QuantamFx wana kiwango cha chini cha 340+ na mpunga wake upo chini. Coin 1 wananunua kwa pesa ya bongo inayofanana na 766 TZS. NovaTrade 890 TZS, Galaxy 1032 TZS, na Titan 1162 TZS.

DIY gavana
 
Utapeli wa kuomba wateja
Nilitegemea comment kama hii ila wapo watakao zingatia na watakaopuuza pia ndio maana nimewka njia nilizotumia ningetaka kutafuta referrer hapa jf nisingetoa maelezo kama hayo
 
Utapeli wa kuomba wateja
Nyinyi ndio mnafanya JF iwe ni sehemu ya umbea na mada zote zisizo na maana niliwahi kutaka kupost thread kama hii ila niliacha maana nilijua haitasaidia chochote kwasababu ya watu kama nyinyi
 
Habari zenu. Ni muda mrefu nimekuwa nikikusanya GVC coins kupitia referral na rewards mbali mbali. Lengo langu lilikuwa kufikisha coins 1100+ ili kuuza kwa GalaxyMarket kama wanavyoonekana hapo kwenye picha, kwani kipindi cha mwanzo nimeisha wahi kuuza coins 347 kwa QuantamFx ili kujaribu. Nilipoona inawezekana, sasa nikaweka nia ya kukusanya coins angalau kuanzia 1100+ kumkamata GalaxyMarket au hata TitanHoldings kama ikiwezekana, maana mpunga wake umechangamka.

Kilicho nifanya kuamua kuuza coins bila kufikia malengo ni kutokana na changamoto za hapa na pale. Nikawaza kwenye Gavana Edge yangu nina kiasi cha coins kama mnavyo ona, maana habari picha ni umbea.
View attachment 3516458
Nimefanyaje? Mchakato upo hivi: Kwanza, kwenye miezi michache iliyopita nilikutana na post X (Twitter) inayoelezea namna ya kukusanya coins na matumizi yake. Nami nikazama field. Nimekuwa nikitumia Gavana Edge kwa muda mrefu, ila sikuwahi kuzingatia hii kitu.
View attachment 3516461
Kwenye screen ya Gavana mwanzoni kuna buttons zipo hapo chini. Upande wa kushoto kuna button ya "Option", inakuletea mpangilio wa programu. Chini kuna option imeandikwa "Boost Your Business". Hapo utakutana na ukurasa wa kutengeneza matangazo ya biashara yako. Juu kuna button ya "Campaign Manager". Ukienda hapo, kuna sehemu inakuonesha matangazo yako na juu kabisa kuna code zako maalumu. Hizo unazi-copy na kwenda kuzipaste kwa mtumiaji mwingine wa programu. Utaona kuna sehemu ya kuziweka. Nimefanya hivyo nimekusanya watu zaidi ya 120+ kupitia WhatsApp, Telegram, n.k. Kila wakilipia subscription, mimi napata reward.
View attachment 3516462
Nimewezaje kuwashawishi? Kila aliyedownload programu nilimwambia ajaze code yangu ili kui-activate programu. Nao walifanya hivyo. Uzuri ni kuwa, akiisha kuweka code, mimi nitaendelea kupata rewards kutoka kwake kwa kipindi cha miezi 5, na hilo hawezi kuzuia.

GVC inatumikaje? Hii coin unaweza kulipia subscription, kulipia tangazo lako la biashara. Unaweza kummuzia mtu binafsi mnaofahamiana ukamuamishia akakupatia cash kwa makubaliano yenu. Pia unaweza kuuzia makampuni kama yanavyoonekana kwenye picha. Kila kampuni lina kiwango chake; ni lazima ukifikishe. QuantamFx wana kiwango cha chini cha 340+ na mpunga wake upo chini. Coin 1 wananunua kwa pesa ya bongo inayofanana na 766 TZS. NovaTrade 890 TZS, Galaxy 1032 TZS, na Titan 1162 TZS.

DIY gavana
Tapeli at work.
 
Kuna jamaa anaCoins 678,980,987 tunafanyaje ili na sisi tukajione bar
 
Nimemuua staz kuwa atakufa nyingi nimeweka kum ulfu
 
Back
Top Bottom