Oya nimeingia kwenye mtandao wenu

blackdog

Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
89
Reaction score
8
Oya jamani nimeingia kwenye mtandao wenu, hodi wenyeji
 
Asante nakutegemea unipe miongozo mkuu,kwani ndio naannza kutumia ....................
 
Usijali anapita tu, lakini isipo chafuka itakuwaje safi? Itasafishwa
 
Waz up dawg? Unakaribishwa ukumbini kwa mikono miwili!
 
Karibu sana, lakini hiyo avatar mmmh!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…