Sasa km hata mwalimu anayezungumziwa humjui Mzee wa Rula hizo Two two utazilengaaajeeeee
Cc Filipo. Kaizer
Tulia mwaya
Ahsante kwa ushauri mzuri! Wazima wote?
Una masharti magumu ya matibabu daktariii. Mwalimu atapona kweli?
Anza na mazoezi kwanza mengine nitakuambia.
Jipendekeze bwana. Acha kucheka hapa
Usicheke kumi ilianzia na moja..kwani wewe hujawahi kuwaona ma model wa kiume na cut walk zao za ukweee
Sio wazima wale.
aaa wapi. yaani mwanaume ukajipitishe mbele ya watu huku unatingisha kiuno
Wee siyo kwamba imekuwa kazi kama kazi nyingine katika kujitafutiaa
aaa wapi. yaani mwanaume ukajipitishe mbele ya watu huku unatingisha kiuno