Oxytocin - Love homon/homoni ya kupendana

ANKOJEI

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
996
743
Nimeikuta mahali.

Inasemekana kuna homoni maalumu inayohusika na mihemuko pamoja na uwezo wa kupenda, swali ni je kuna wale watu wasiopendeka ina maana hawana homoni hiyo au kuna tatizo lingine?
 
Mkuu..!
mfano,
Wewe ndio mwenye hiyo homoni.. ina maana hiyo mihemko na uwezo wakupenda utakuwa nao wewe hapo..

Sasa mbona swali lako kuhusu hizo homoni unalielekeza kwa mtu anaetakiwa kupendwa..

Mimi nilitegemea nione unauliza kuhusu ukosefu wa hizo homoni kwa wale watu ambao hawana mihemko ya Kupenda na sio kupendeka..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom