Habari ya mda huu wadau,
Naomba kwa mwenye taarifa aniijuze kuhusu nafasi ya Sales Executive kwa mikoa ya Shinyanga, Kagera na Simiyu iliyotanganzwa na hawa jamaa na kisha usahili kufanyika kama mwezi mmoja uliopita, kama wameisha ajiri watu kwa nafasi tajwa hapo juu. Naona sasa ni kitambo kimeshapita tangu usaili
Pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee guys any updates