Overthinking/ mental health

Overthinking/ mental health

Joined
Mar 6, 2015
Posts
70
Reaction score
221
Habari zenu wakuu,

Changamoto za maisha zipo kwa kila mmoja, kila mtu anapitia ya kwake tofauti ni uzito.

Kwa upande wangu, tangu 2018 naweza sema nimekuwa nikipitia kipindi kigumu sana.

Nimekuwa na sleepless nights za kutosha..naweza kaa macho mpaka asubuhi.

Pakikucha naugua sana kichwa. Nimekua ni mtu wa kuumia kiasi kwamba napata ganzi ya miguu na mikono, yaani kuna muda nikiwaza sana naona kama naiskia damu inavyopita kwenye mikono (kama ukichomwa sindano ile ya drip afu mshipa uburst wanavyojaribu kupitisha yale maji ndo huwa naskia hivyo kwenye mishipa ya mikono angu)

But changamoto za maisha zipo na zina mwisho.

Najaribu sana kujitia nguvu, but nashndwa.

Kama kuna mtu umewahi pitia kipindi kigumu?! Ulifanyaje kuishi kawaida? Maana haya maisha hayana matumaini kwamba labda yatabadilika.

How do you guys control your thoughts?
 
Pole sana....
Kujua kinachokusumbua ni hatua katika uponaji....fuatilia matibabu ya hospitalini katika eneo unalo ishi. Mental health ni pana sana...kujua shida yako na jinsi ya kukusaidia si rahisi kwa kusoma tu ulichoandika.
 
Pole sana....
Kujua kinachokusumbua ni hatua katika uponaji....fuatilia matibabu ya hospitalini katika eneo unalo ishi....
Mental health ni pana sana...kujua shida yako na jinsi ya kukusaidia si rahisi kwa kusoma tu ulichoandika....
Shida ni ugumu tu wa maisha
Biashara zote zinakufa na nina malengo na majukum.
Naona wenzangu wanafanikiwa, but as for me kila siku Bora Jana. it feels like I'm cursed.
 
Shida ni ugumu tu wa maisha
Biashara zote zinakufa na nina malengo na majukum.
Naona wenzangu wanafanikiwa, but as for me kila siku Bora Jana. it feels like I'm cursed.
no one has cursed..
hiyo hali ya ugumu wa maisha na kutofanikiwa haipo kwako tuu!
ingekuwa laana basi asilimia kubwa tumelaaniwa!
kikubwa jaribu kufanya changes na uwe karibu na unaowaona wamefanikiwa wajaribu kukupa some advice.
ila kikubwa ondoa curse mode kwenye mind yako kabisaaa..
utakuwa unamwagia mafuta kwenye moto
 
Habari zenu wakuu,

Changamoto za maisha zipo kwa kila mmoja, kila mtu anapitia ya kwake tofauti ni uzito...
Je umeolewa? Una mahusiano?

Kama huna je unapenda kukaa alone (kujifungia ndani)?

NB: Matatizo kila mtu anayo na kuwa na matatizo sio dhambi, dhambi ni pale utapo ruhusu matatizo yaingie akilini na moyoni mwako!!
 
Aliyesababisha hayo matatizo yote is no more, niswala la muda kila kitu kitaa kaa sawa.
 
Je umeolewa? Una mahusiano?

Kama huna je unapenda kukaa alone (kujifungia ndani)?

NB: Matatizo kila mtu anayo na kuwa na matatizo sio dhambi, dhambi ni pale utapo ruhusu matatizo yaingie akilini na moyoni mwako!!
I prefer being alone
 
Pole sana na Mungu akutie nguvu katika haya unayopitia nina imani hajawahi kushindwa kwenye jambo lolote lile ambalo mwanadamu atamlilia.
 
Katika maisha kuna kitu ambacho wetu huwa tunakosea pale tunapopitia hali ngumi huwa tunaamini kuwa hakuna suluhisho ila ugumu huwa unaongozana na wepesi. Ukiona maisha yamekuwa magumu basi ujue kuna tumaini linakaribia.

Piga moyo konde.
 
The darkest night produces the brightest stars.
 
Back
Top Bottom