Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,554
Nina mke na mtoto ni lazima niludi
Mkuu nahisi sijakuelewa vizuri nieleweshe
1.Una mke na mtoto wako sauzi (mke ni mtanzania) kwahyo ulikuwa unakaa illegally na umeoverstay sasa unataka urudi bongo then uende sauzi ili upate permit wewe na wife ili mkae kwa uhuru si ndio?
2.Au mke ni msauzi, na maelezo kama nilivyoandika hapo juu
Nataka nielewe ili tujue tunakushaurije