Ukitoa hela/wazee wa dili watakugongea kama nomo exit ila ukifuata sheria zao za kulipa kwenye serikali lazima wapige overstay. na ukirudi itakubana.
Ndo mana nimekupa option hii
Wewe nenda wakikugongea overstay achana nao wewe rudi home pata loss report chukua new passport halafu mwambie mke wako akutumia invitation letter pamoja na copy ya kitambulisho chake/passport yake kama anayo( au wakati unarudi bongo unaweza ukabeba details za wife kwenye begi,
Then baada ya muda ukitaka kurudi sauzi we unatakiwa uvuke kutoka upande wa zimbabwe kwenda sauzi (beit bridge )usiku gonga viza usiku ndo huwa hawazingatii kucheki kwenye systems.
Jumuika na familia yako, kisha wife baada ya muda ambatana na wife wako na cheti cha ndoa ili wewe mtanzania/mume upate permit au kuonba uraia.
Hii ishue si ya kuwaza cha msingi safiri na hela.
hapo beitbridge kuna rushwa ya kufa mtu.
anyway kama unafikia maeneo ya Boxate(Zambian city in sauzi) wape salamu